Native Bible

Job 13:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo.

Job 13:28 in English

Job 13:28 · Berean Standard Bible

So man wastes away like something rotten, like a moth-eaten garment.

Context

26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. Unazichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu. 28“Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.