Native Bible

Job 13:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? Je, utayasaka makapi makavu?

Job 13:25 in English

Job 13:25 · Berean Standard Bible

Would You frighten a windblown leaf? Would You chase after dry chaff?

Context

23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 24Kwa nini kuuficha uso wako na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? Je, utayasaka makapi makavu? 26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 27Umeifunga miguu yangu kwenye pingu. Unazichunga kwa makini njia zangu zote kwa kutia alama kwenye nyayo za miguu yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.