Native Bible

Job 13:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa nini kuuficha uso wako na kunihesabu mimi kuwa adui yako?

Job 13:24 in English

Job 13:24 · Berean Standard Bible

Why do You hide Your face and consider me as Your enemy?

Context

22Niite kwenye shauri nami nitajibu, au niache niseme, nawe upate kujibu. 23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 24Kwa nini kuuficha uso wako na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 25Je, utaliadhibu jani lipeperushwalo na upepo? Je, utayasaka makapi makavu? 26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.