Native Bible

Job 13:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Niite kwenye shauri nami nitajibu, au niache niseme, nawe upate kujibu.

Job 13:22 in English

Job 13:22 · Berean Standard Bible

Then call me, and I will answer, or let me speak, and You can reply.

Context

20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, nami sitajificha uso wako: 21Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 22Niite kwenye shauri nami nitajibu, au niache niseme, nawe upate kujibu. 23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda? Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu. 24Kwa nini kuuficha uso wako na kunihesabu mimi kuwa adui yako?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.