Ayubu 13:20
Job 13:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili, nami sitajificha uso wako:
Job 13:20 in English
Job 13:20 · Berean Standard Bible
Only grant these two things to me, so that I need not hide from You:
Context
18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu,
ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 19Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu?
Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife. 20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili,
nami sitajificha uso wako: 21Ondoa mkono wako uwe mbali nami,
nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 22Niite kwenye shauri nami nitajibu,
au niache niseme, nawe upate kujibu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.