Ayubu 13:19
Job 13:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife.
Job 13:19 in English
Job 13:19 · Berean Standard Bible
Can anyone indict me? If so, I will be silent and die.
Context
17Sikilizeni maneno yangu kwa makini;
nayo masikio yenu yaingize kile nisemacho. 18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu,
ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 19Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu?
Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife. 20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili,
nami sitajificha uso wako: 21Ondoa mkono wako uwe mbali nami,
nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.