Native Bible

Job 13:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikilizeni maneno yangu kwa makini; nayo masikio yenu yaingize kile nisemacho.

Job 13:17 in English

Job 13:17 · Berean Standard Bible

Listen carefully to my words; let my declaration ring in your ears.

Context

15Ingawa ataniua, bado nitamtumaini; hakika nitazitetea njia zangu mbele zake. 16Naam, hili litanigeukia kuwa wokovu wangu, kwa maana hakuna mtu asiyemcha Mungu atakayethubutu kuja mbele yake! 17Sikilizeni maneno yangu kwa makini; nayo masikio yenu yaingize kile nisemacho. 18Sasa kwamba nimekwisha kutayarisha mambo yangu, ninajua mimi nitahesabiwa kuwa na haki. 19Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu? Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.