Ayubu 13:21
Job 13:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ondoa mkono wako uwe mbali nami, nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu.
Job 13:21 in English
Job 13:21 · Berean Standard Bible
Withdraw Your hand from me, and do not let Your terror frighten me.
Context
19Je, kuna yeyote anayeweza kuleta mashtaka dhidi yangu?
Kama ndivyo, nitanyamaza kimya na nife. 20“Ee Mungu, unijalie tu mimi haya mambo mawili,
nami sitajificha uso wako: 21Ondoa mkono wako uwe mbali nami,
nawe uache kuniogofya kwa hofu zako kuu. 22Niite kwenye shauri nami nitajibu,
au niache niseme, nawe upate kujibu. 23Ni makosa na dhambi ngapi nilizotenda?
Nionyeshe kosa langu na dhambi yangu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.