Native Bible

Job 11:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita.

Job 11:16 in English

Job 11:16 · Berean Standard Bible

For you will forget your misery, recalling it only as waters gone by.

Context

14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako, 15ndipo utainua uso wako bila aibu; utasimama imara bila hofu. 16Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita. 17Maisha yako yatangʼaa kuliko adhuhuri, nalo giza litakuwa kama alfajiri. 18Utakuwa salama, kwa kuwa lipo tumaini; utatazama pande zote na kupumzika kwa salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.