Native Bible

Job 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako,

Job 11:14 in English

Job 11:14 · Berean Standard Bible

if you put away the iniquity in your hand, and allow no injustice to dwell in your tents,

Context

12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako, 14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako, 15ndipo utainua uso wako bila aibu; utasimama imara bila hofu. 16Hakika utaisahau taabu yako, utaikumbuka tu kama maji yaliyokwisha kupita.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.