Native Bible

Job 11:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu.

Job 11:12 in English

Job 11:12 · Berean Standard Bible

But a witless man can no more become wise than the colt of a wild donkey can be born a man!*

Context

10“Kama akija na kukufunga gerezani, na kuitisha mahakama, ni nani awezaye kumpinga? 11Hakika anawatambua watu wadanganyifu; naye aonapo uovu, je, haangalii? 12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 13“Hata sasa ukiutoa moyo wako kwake na kumwinulia mikono yako, 14ukiiondolea mbali ile dhambi iliyo mkononi mwako wala usiuruhusu uovu ukae hemani mwako,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.