Yohana 9:38
John 9:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.
John 9:38 in English
John 9:38 · Berean Standard Bible
“Lord, I believe,” he said. And he worshiped Jesus.
Context
36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” 37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” 38Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu. 39Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.” 40Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.