Native Bible

John 9:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”

John 9:39 in English

John 9:39 · Berean Standard Bible

Then Jesus declared, “For judgment I have come into this world, so that the blind may see and those who see may become blind.”*

Context

37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” 38Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu. 39Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.” 40Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa karibu naye wakamsikia na kumwambia, “Je, kweli sisi ni vipofu?” 41Yesu akawajibu, “Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.