Yohana 9:37
John 9:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”
John 9:37 in English
John 9:37 · Berean Standard Bible
“You have already seen Him,” Jesus answered. “He is the One speaking with you.”
Context
35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?” 36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” 37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” 38Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu. 39Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.