Native Bible

John 9:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”

John 9:36 in English

John 9:36 · Berean Standard Bible

“Who is He, Sir?” he replied. “Tell me so that I may believe in Him.”

Context

34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje. 35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?” 36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” 37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.” 38Yule mtu akasema, “Bwana, naamini.” Naye akamwabudu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.