Native Bible

John 9:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?”

John 9:35 in English

John 9:35 · Berean Standard Bible

When Jesus heard that they had thrown him out, He found the man and said, “Do you believe in the Son of Man *?”

Context

33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” 34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje. 35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?” 36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.” 37Yesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.