Native Bible

John 9:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje.

John 9:34 in English

John 9:34 · Berean Standard Bible

They replied, “You were born in utter sin, and you are instructing us?” And they threw him out.

Context

32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. 33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” 34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje. 35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?” 36Yule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.