Yohana 9:32
John 9:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu.
John 9:32 in English
John 9:32 · Berean Standard Bible
Never before has anyone heard of opening the eyes of a man born blind.
Context
30Yule mtu akawajibu, “Hili ni jambo la ajabu! Hamjui anakotoka, naye amenifungua macho yangu! 31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii. 32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. 33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” 34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.