Yohana 9:31
John 9:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii.
John 9:31 in English
John 9:31 · Berean Standard Bible
We know that God does not listen to sinners, but He does listen to the one who worships Him and does His will.
Context
29Tunajua kwamba Mungu alisema na Mose, lakini kwa habari ya mtu huyu hatujui atokako.” 30Yule mtu akawajibu, “Hili ni jambo la ajabu! Hamjui anakotoka, naye amenifungua macho yangu! 31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii. 32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. 33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.