Native Bible

John 9:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.”

John 9:33 in English

John 9:33 · Berean Standard Bible

If this man were not from God, He could do no such thing.”

Context

31Tunajua ya kuwa Mungu hawasikilizi wenye dhambi, lakini huwasikiliza wote wanaomcha na kumtii. 32Tangu zamani hatujasikia kwamba mtu amemponya yeyote aliyezaliwa kipofu. 33Kama huyu mtu hakutoka kwa Mungu, asingeweza kufanya lolote.” 34Wao wakamjibu, “Wewe ulizaliwa katika dhambi kabisa, nawe unajaribu kutufundisha?” Wakamfukuza atoke nje. 35Yesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.