Native Bible

John 9:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi siku hiyo Yesu alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.

John 9:14 in English

John 9:14 · Berean Standard Bible

Now the day on which Jesus had made the mud and opened his eyes was a Sabbath.

Context

12Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.” 13Wakamleta kwa Mafarisayo yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali. 14Basi siku hiyo Yesu alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato. 15Mafarisayo nao wakaanza kumuuliza alivyopata kuponywa. Naye akawaambia, “Alinipaka tope kwenye macho yangu, nikanawa na sasa ninaona.” 16Baadhi ya Mafarisayo wakasema, “Huyu mtu hatoki kwa Mungu, kwa sababu hashiki Sabato.” Lakini wengine wakasema, “Awezaje mtu mwenye dhambi kufanya miujiza kama hii?” Wakagawanyika.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.