Native Bible

John 9:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.”

John 9:12 in English

John 9:12 · Berean Standard Bible

“Where is He?” they asked. “I do not know,” he answered.

Context

10Wakamuuliza, “Basi macho yako yalifumbuliwaje?” 11Yeye akawajibu, “Yule mtu aitwaye Yesu alitengeneza tope, akanipaka machoni mwangu, naye akaniambia nenda ukanawe katika Bwawa la Siloamu, ndipo nikanawa nami nikapata kuona!” 12Wale wakamuuliza, “Yeye huyo mtu yuko wapi?” Akawajibu, “Sijui.” 13Wakamleta kwa Mafarisayo yule mtu aliyekuwa kipofu hapo awali. 14Basi siku hiyo Yesu alipotengeneza tope na kuyafungua macho ya huyo mtu ilikuwa Sabato.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.