Native Bible

John 6:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.

John 6:19 in English

John 6:19 · Berean Standard Bible

When they had rowed about three or four miles,* they saw Jesus approaching the boat, walking on the sea—and they were terrified.

Context

17Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao. 18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. 19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. 20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.” 21Ndipo wakamkaribisha kwa furaha ndani ya mashua, na mara wakafika ufuoni walikokuwa wakienda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.