Yohana 6:20
John 6:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”
John 6:20 in English
John 6:20 · Berean Standard Bible
But Jesus spoke up: “It is I; do not be afraid.”
Context
18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. 19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. 20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.” 21Ndipo wakamkaribisha kwa furaha ndani ya mashua, na mara wakafika ufuoni walikokuwa wakienda. 22Siku iliyofuata, wale watu waliokuwa wamebaki ngʼambo waliona kwamba palikuwepo na mashua moja tu na kwamba Yesu hakuwa ameondoka pamoja na wanafunzi wake, ila walikuwa wameondoka peke yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.