Yohana 6:18
John 6:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma.
John 6:18 in English
John 6:18 · Berean Standard Bible
A strong wind was blowing, and the sea grew agitated.
Context
16Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. 17Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao. 18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. 19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana. 20Lakini Yesu akawaambia, “Ni mimi. Msiogope.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.