Yohana 6:17
John 6:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao.
John 6:17 in English
John 6:17 · Berean Standard Bible
got into a boat, and started across the sea to Capernaum. It was already dark, and Jesus had not yet gone out to them.
Context
15Yesu akijua kwamba walitaka kuja kumfanya awe mfalme wao, kwa nguvu, akajitenga nao akaenda milimani peke yake. 16Ilipofika jioni, wanafunzi wake waliteremka kwenda baharini. 17Wakaingia kwenye mashua, wakaanza kuvuka bahari kwenda Kapernaumu. Wakati huu kulikuwa tayari giza na Yesu alikuwa hajajumuika nao. 18Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. 19Wanafunzi walipokuwa wamekwenda mwendo wa karibu maili tatu au nne,* walimwona Yesu akitembea juu ya maji akikaribia mashua, nao wakaogopa sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.