Native Bible

John 4:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya.

John 4:3 in English

John 4:3 · Berean Standard Bible

He left Judea and returned to Galilee.

Context

1Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana, 2ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. 3Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya. 4Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria. 5Akafika kwenye mji mmoja wa Samaria uitwao Sikari, karibu na lile shamba ambalo Yakobo alimpa mwanawe Yosefu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.