Native Bible

John 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana,

John 4:1 in English

John 4:1 · Berean Standard Bible

When Jesus realized that the Pharisees were aware He * was gaining and baptizing more disciples than John

Context

1Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana, 2ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. 3Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.