Native Bible

John 4:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake.

John 4:2 in English

John 4:2 · Berean Standard Bible

(although it was not Jesus who baptized, but His disciples),

Context

1Mafarisayo wakasikia kwamba Yesu alikuwa anapata na kubatiza wanafunzi wengi zaidi kuliko Yohana, 2ingawa kwa kweli si Yesu mwenyewe aliyekuwa akibatiza, ila ni wanafunzi wake. 3Bwana alipojua mambo haya, aliondoka Uyahudi akarudi tena Galilaya. 4Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.