Native Bible

John 12:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300* na fedha hizo wakapewa maskini?”

John 12:5 in English

John 12:5 · Berean Standard Bible

“Why wasn’t this perfume sold for three hundred denarii * and the money given to the poor?”

Context

3Kisha Maria akachukua chupa ya painti moja* yenye manukato ya nardo* safi ya thamani kubwa, akayamimina miguuni mwa Yesu na kuifuta kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu nzuri ya manukato. 4Ndipo Yuda Iskariote mwana wa Simoni, mmoja wa wale wanafunzi ambaye ndiye angemsaliti Yesu, akasema, 5“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300* na fedha hizo wakapewa maskini?” 6Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali maskini, bali kwa kuwa alikuwa mwizi, kwani ndiye alikuwa akitunza mfuko wa fedha akawa anaiba kile kilichowekwa humo. 7Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.