Native Bible

John 12:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu.

John 12:7 in English

John 12:7 · Berean Standard Bible

“Leave her alone,” Jesus replied. “She has kept this perfume in preparation for the day of My burial.

Context

5“Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300* na fedha hizo wakapewa maskini?” 6Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali maskini, bali kwa kuwa alikuwa mwizi, kwani ndiye alikuwa akitunza mfuko wa fedha akawa anaiba kile kilichowekwa humo. 7Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu. 8Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.” 9Umati mkubwa wa Wayahudi walipojua kwamba Yesu alikuwa huko Bethania, walikuja si tu kwa ajili ya Yesu, lakini pia kumwona Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.