Yohana 12:8
John 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.”
John 12:8 in English
John 12:8 · Berean Standard Bible
The poor you will always have with you,* but you will not always have Me.”
Context
6Yuda alisema hivi si kwa kuwa aliwajali maskini, bali kwa kuwa alikuwa mwizi, kwani ndiye alikuwa akitunza mfuko wa fedha akawa anaiba kile kilichowekwa humo. 7Yesu akasema, “Mwacheni. Aliyanunua manukato hayo ili ayaweke kwa ajili ya siku ya maziko yangu. 8Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.” 9Umati mkubwa wa Wayahudi walipojua kwamba Yesu alikuwa huko Bethania, walikuja si tu kwa ajili ya Yesu, lakini pia kumwona Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua. 10Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumuua Lazaro pia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.