Native Bible

John 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumuua Lazaro pia,

John 12:10 in English

John 12:10 · Berean Standard Bible

So the chief priests made plans to kill Lazarus as well,

Context

8Maskini mtakuwa nao siku zote, lakini mimi hamtakuwa nami siku zote.” 9Umati mkubwa wa Wayahudi walipojua kwamba Yesu alikuwa huko Bethania, walikuja si tu kwa ajili ya Yesu, lakini pia kumwona Lazaro ambaye Yesu alikuwa amemfufua. 10Kwa hiyo viongozi wa makuhani wakafanya mpango wa kumuua Lazaro pia, 11kwa kuwa kutokana na habari za kufufuliwa kwake Wayahudi wengi walikuwa wanamwendea Yesu na kumwamini. 12Siku iliyofuata umati mkubwa uliokuwa umekuja kwenye Sikukuu walisikia kwamba Yesu angekuja Yerusalemu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.