Yohana 12:43
John 12:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu.
John 12:43 in English
John 12:43 · Berean Standard Bible
For they loved praise from men more than praise from God.
Context
41Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake. 42Lakini wengi miongoni mwa viongozi wa Wayahudi walimwamini, lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakukiri waziwazi kwa maana waliogopa kufukuzwa katika masinagogi. 43Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu. 44Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma. 45Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.