Native Bible

John 12:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma.

John 12:44 in English

John 12:44 · Berean Standard Bible

Then Jesus cried out, “Whoever believes in Me does not believe in Me alone, but in the One who sent Me.

Context

42Lakini wengi miongoni mwa viongozi wa Wayahudi walimwamini, lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakukiri waziwazi kwa maana waliogopa kufukuzwa katika masinagogi. 43Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu. 44Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma. 45Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma. 46Mimi nimekuja kama nuru ulimwenguni, ili kwamba kila mtu aniaminiye asibaki gizani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.