Native Bible

John 12:45 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma.

John 12:45 in English

John 12:45 · Berean Standard Bible

And whoever sees Me sees the One who sent Me.

Context

43Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu. 44Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma. 45Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma. 46Mimi nimekuja kama nuru ulimwenguni, ili kwamba kila mtu aniaminiye asibaki gizani. 47“Mimi simhukumu mtu yeyote anayesikia maneno yangu na asiyatii, kwa maana sikuja kuuhukumu ulimwengu, bali kuuokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.