Native Bible

John 12:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake.

John 12:41 in English

John 12:41 · Berean Standard Bible

Isaiah said these things because he saw Jesus’ glory and spoke about Him.

Context

39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 40“Amewafanya vipofu, na kuifanya mioyo yao kuwa migumu, ili wasiweze kuona kwa macho yao, wala kuelewa kwa mioyo yao, wasije wakageuka nami nikawaponya.” 41Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake. 42Lakini wengi miongoni mwa viongozi wa Wayahudi walimwamini, lakini kwa sababu ya Mafarisayo hawakukiri waziwazi kwa maana waliogopa kufukuzwa katika masinagogi. 43Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.