Yohana 12:39
John 12:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:
John 12:39 in English
John 12:39 · Berean Standard Bible
For this reason they were unable to believe. For again, Isaiah says:
Context
37Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini. 38Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema:
“Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu,
na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?” 39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 40“Amewafanya vipofu,
na kuifanya mioyo yao kuwa migumu,
ili wasiweze kuona kwa macho yao,
wala kuelewa kwa mioyo yao,
wasije wakageuka nami nikawaponya.” 41Isaya alisema haya alipoona utukufu wa Yesu na kunena habari zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.