Native Bible

John 12:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

John 12:37 in English

John 12:37 · Berean Standard Bible

Although Jesus had performed so many signs in their presence, they still did not believe in Him.

Context

35Ndipo Yesu akawaambia, “Bado kitambo kidogo nuru ingalipo pamoja nanyi. Enendeni maadamu mna nuru, msije mkakumbwa na giza. Mtu anayetembea gizani hajui anakokwenda. 36Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru.” Baada ya kusema haya, Yesu aliondoka, akajificha wasimwone. 37Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini. 38Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?” 39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.