Yohana 11:36
John 11:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!”
John 11:36 in English
John 11:36 · Berean Standard Bible
Then the Jews said, “See how He loved him!”
Context
34Akauliza, “Mmemweka wapi?”
Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” 35Yesu akalia machozi. 36Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” 37Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?” 38Yesu kwa mara nyingine akiwa amefadhaika sana, akafika penye kaburi. Hilo kaburi lilikuwa pango ambalo jiwe lilikuwa limewekwa kwenye ingilio lake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.