Native Bible

John 11:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akalia machozi.

John 11:35 in English

Context

33Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana. 34Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.” 35Yesu akalia machozi. 36Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” 37Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.