Native Bible

John 11:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?”

John 11:37 in English

John 11:37 · Berean Standard Bible

But some of them asked, “Could not this man who opened the eyes of the blind also have kept Lazarus from dying?”

Context

35Yesu akalia machozi. 36Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!” 37Lakini wengine wakasema, “Je, yule aliyefungua macho ya kipofu, hakuweza kumfanya na huyu asife?” 38Yesu kwa mara nyingine akiwa amefadhaika sana, akafika penye kaburi. Hilo kaburi lilikuwa pango ambalo jiwe lilikuwa limewekwa kwenye ingilio lake. 39Yesu akasema, “Liondoeni hilo jiwe.” Martha ndugu yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.