Yohana 10:8
John 10:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia.
John 10:8 in English
John 10:8 · Berean Standard Bible
All who came before Me * were thieves and robbers, but the sheep did not listen to them.
Context
6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. 7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. 8Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia. 9Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho. 10Mwizi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi nimekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.