Native Bible

John 10:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

John 10:9 in English

John 10:9 · Berean Standard Bible

I am the gate. If anyone enters through Me, he will be saved. He will come in and go out and find pasture.

Context

7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. 8Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia. 9Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho. 10Mwizi huja ili aibe, kuua na kuangamiza. Mimi nimekuja ili wapate uzima kisha wawe nao tele. 11“Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.