Native Bible

John 10:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo.

John 10:7 in English

John 10:7 · Berean Standard Bible

So He said to them again, “Truly, truly, I tell you, I am the gate for the sheep.

Context

5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” 6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. 7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. 8Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia. 9Mimi ndimi lango, yeyote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu ataokoka, ataingia na kutoka, naye atapata malisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.