Native Bible

John 10:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia.

John 10:6 in English

John 10:6 · Berean Standard Bible

Jesus spoke to them using this illustration, but they did not understand what He was telling them.

Context

4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake. 5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” 6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. 7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo. 8Wote walionitangulia ni wevi na wanyangʼanyi, lakini kondoo hawakuwasikia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.