Native Bible

John 10:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.”

John 10:5 in English

John 10:5 · Berean Standard Bible

But they will never follow a stranger; in fact, they will flee from him because they do not recognize his voice.”

Context

3Mlinzi humfungulia lango na kondoo huisikia sauti yake. Huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwatoa nje ya zizi. 4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake. 5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” 6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia. 7Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Amin, amin nawaambia, mimi ndimi lango la kondoo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.