Yohana 10:4
John 10:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake.
John 10:4 in English
John 10:4 · Berean Standard Bible
When he has brought out all his own, he goes on ahead of them, and his sheep follow him because they know his voice.
Context
2Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo. 3Mlinzi humfungulia lango na kondoo huisikia sauti yake. Huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwatoa nje ya zizi. 4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake. 5Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” 6Yesu alitumia mfano huu, lakini wao hawakuelewa hayo aliyokuwa akiwaambia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.