Yohana 10:2
John 10:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo.
John 10:2 in English
John 10:2 · Berean Standard Bible
But the one who enters by the gate is the shepherd of the sheep.
Context
1“Amin, amin nawaambia, yeye asiyeingia katika zizi la kondoo kwa kupitia kwenye lango, lakini akwea kuingia ndani kwa njia nyingine, ni mwizi na mnyangʼanyi. 2Yeye anayeingia kwa kupitia kwenye lango ndiye mchungaji wa kondoo. 3Mlinzi humfungulia lango na kondoo huisikia sauti yake. Huwaita kondoo wake kwa majina yao na kuwatoa nje ya zizi. 4Akiisha kuwatoa wote nje, hutangulia mbele yao na kondoo humfuata kwa kuwa wanaijua sauti yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.