Yohana 1:7
John 1:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini.
John 1:7 in English
John 1:7 · Berean Standard Bible
He came as a witness to testify about the Light, so that through him everyone might believe.
Context
5Nuru hungʼaa gizani nalo giza halikuishinda. 6Alikuja mtu mmoja aliyetumwa kutoka kwa Mungu, jina lake Yohana. 7Alikuja kama shahidi apate kuishuhudia hiyo nuru, ili kwa kupitia kwake watu wote waweze kuamini. 8Yeye mwenyewe hakuwa ile nuru, bali alikuja kuishuhudia hiyo nuru. 9Kwamba nuru halisi, imwangaziayo kila mtu ilikuwa inakuja ulimwenguni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.